MSAADA: KUHUSU UBER VOUCHER SMS YA MTANDAO WA TIGO.

MSAADA: KUHUSU UBER VOUCHER SMS YA MTANDAO WA TIGO.

jac salum

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
183
Reaction score
129
Umezawadiwa vocha ya Uber ya Tsh 3,000 BUREE kwa kulipia bili yako kwa kutumia Tigo Pesa. Tumia fumbo la siri TDex9s78 kwenye Uber yako ili kutumia vocha yako
-- KAMA KUNA MTU ANAEFAHAM ATUELEZE NINI NA INAPATIKANA WAPI IYO VOCHA BAADA YA KUPATA UJUMBE KAMA HUU.
 
Back
Top Bottom