aiseeNi tecno
Hivi atakua anataka kuiba simu au data?mrudishie mwenyewe hiyo simu acha wizi
Mwenyewe kazipiga pin mnafukunyua ili iweje?msipende kuongea msioyajua nyie. Haya ni simu ya marehemu. Ziko taarifa muhimu tunazihitaji
Ushaambiwa Ni simu ya marehemu ndugu!!!Mimi ninaweza kufungua simu janja zote kasoro IPhone na hizi Samsung za kileo zaidi.
Nakupa hint, ingia YouTube kisha andika how to unlock ....... Weka model ya simu husika kisha cheki maelezo vizuri.
Ukishindwa nitext PM niko dar
Nashukuru kiongoziMimi ninaweza kufungua simu janja zote kasoro IPhone na hizi Samsung za kileo zaidi.
Nakupa hint, ingia YouTube kisha andika how to unlock ....... Weka model ya simu husika kisha cheki maelezo vizuri.
Ukishindwa nitext PM niko dar