Samsumg au tecno?Jamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
Badili touch hyoIna miaka 3
download back button play storeJamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
Touch unazopata zitakuwa na shida au connector ya touch itakuwa na shida.kati ya hayo mawili mojawapo ndo itakuwa shida ya hyo simu.Nimebadili lkn bado inasumbua