Nashindwa kufungua akaunti ya eBay

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,580
1,622
Wakuu najaribu kufungua eBay a/c sasa kuna kile kipengele cha kuweka information za ulipo ili bidhaa ikufikie , kuna baadhi ya vitu nashindwa nijaze nn mfano

1: ENTER ADDRESS
2: STATE / PROVINCE/ POSTAL CODE. Hivi ndo vinanichanganya msaada plz
 
Back
Top Bottom