Smart Tv v/s LED Tv

Smart Tv v/s LED Tv

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wataalam naomba kujua tofauti iliyopo kati ya hizo nilizotaja hapo juu. Nauliza hivi sina ninachokijua khs hizi flat tv.
 
Wataalam naomba kujua tofauti iliyopo kati ya hizo nilizotaja hapo juu. Nauliza hivi sina ninachokijua khs hizi flat tv.

SMART TV :
Huu ni mfumo wa uendeshwaji wa TV husika Yote kwa ujumla. SMart TV ni TV janja (Kama ilivyo simu janja), Unaweza kuchomeka keyboard,mouse, unaweza kuingia internet kwasababu ina WIFI etc

LED:
Huu ni mfumo tu wa namna mwanga wa kwenye kioo unavyopatikana. Mifumo mingine ya mwanga wa kioo ni pamoja na TFT/LCD, AMOLED Etc
 
Smart TV, ni kama simu janja, hua na features adhimu kama WiFi , Bluetooth , na hua na OS (android mostly) na apps kama fb,youtube,nk



LED TV , ni tv ambayo hutumia taa za LED kuzalisha mwanga ili uone , teknolojia mpya hii



Non LED tv izi hutumia CCFL ( taa ndefu nyembamba ) kuzalisha mwanga , teknolojia ya ki zamani


AMOLED , hizi hazitumii mwanga , bali picture elements ( pixels ) zenyewe ndio huzalisha mwanga ili uone, hii ni teknolojia mpya zaidi na zaidi, baadhi ya vifaa (simu) vinavyotumia AMOLED ni samsung S4, S5, nk
 
Binafsi naikubali sana SMART TV yaani naangalia Youtube,nadownload nyimbo mule,nakonekti na simu naangalia mpira laivu.


Glory Glory SMART TV
Du! Hongera sana. Napenda Hii kitu HD naumwa. Siku salary ikipendeza nitajilipua tu hakuna namna. Japo huenda ikaathiri Ndoa wani mke wangu antakatuangalie tamthilia pamoja wkt mie simo kabisaaa. Nikihamia chumbani ananifuata Tyuu, huenda tutaipasua.
 
Binafsi naikubali sana SMART TV yaani naangalia Youtube,nadownload nyimbo mule,nakonekti na simu naangalia mpira laivu.


Glory Glory SMART TV
Smart tv mpango mzima apo! Hamna mpinzani ime define entertainment katika sura mpya, huwezi boreka mara uko youtube, whatsapp, instagram ukitaka unafunga dish unainjoy FTA channels! Kama mpenzi wa movie unanunua HDD unaipachika unakuwa na uwezo wa kurecord show kisha unaziangalia badae!

Binafsi nimetumia TCL iko mzuka sana
 
Du! Hongera sana. Napenda Hii kitu HD naumwa. Siku salary ikipendeza nitajilipua tu hakuna namna. Japo huenda ikaathiri Ndoa wani mke wangu antakatuangalie tamthilia pamoja wkt mie simo kabisaaa. Nikihamia chumbani ananifuata Tyuu, huenda tutaipasua.
Online pia kuna tamthilia, nzuri kushinda zinazoonyeshwa na chanell za bongo, unaweza ukapata spot fulani wote wawili mkapenda na kuangalia pamoja. Ila kama lugha gongana hamtaelewana against kina sultani.
 
Smart tv mpango mzima apo! Hamna mpinzani ime define entertainment katika sura mpya, huwezi boreka mara uko youtube, whatsapp, instagram ukitaka unafunga dish unainjoy FTA channels! Kama mpenzi wa movie unanunua HDD unaipachika unakuwa na uwezo wa kurecord show kisha unaziangalia badae!

Binafsi nimetumia TCL iko mzuka sana
hebu nielekeze hii ya kurecord show kwa tcl , maana ninayo tcl smart lakini hii feature sijawahi tumia
 
Smart tv mpango mzima apo! Hamna mpinzani ime define entertainment katika sura mpya, huwezi boreka mara uko youtube, whatsapp, instagram ukitaka unafunga dish unainjoy FTA channels! Kama mpenzi wa movie unanunua HDD unaipachika unakuwa na uwezo wa kurecord show kisha unaziangalia badae!

Binafsi nimetumia TCL iko mzuka sana
Hakuna neno mkuu
 
A
Vyote vinawezekana ila nadhani spear inaweza kuwa nafuu zaidi kama utapata, zungukia mafundi
AAH SAWA NI INCH 32 KWA BEI YA SPEA NAWEZA UZA KIASI AU NKITAKA KUTENGENEZA KIOO NAWEZA TENGENEZA KWA KIASI GANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom