Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

la fiesta

Member
Dec 20, 2012
78
37
Wakuu habari za weekend. PC yangu kwenye wi fi haiwaki on , nikiclick kwenye WiFi haioneshi on au kubadilika ranging inakuwa bluu yaani on, nataka koconnect na internet ya simu nitumie PC, naombeni msaada tafadhali.
IMG-20181111-WA0008.jpeg
IMG-20181111-WA0002.jpeg
 
kuna pc zinakuwa na button ya pembeni inayotumika kuwasha wireless ebu cheki iyo button kisha weka on
Asante mkuu nimeiona hiyo button na hapa nasurf full mzima, unajua hii PC nimenunua Jana sasa kuna MTU aliniwekea network fresh niatumia intranet Jana , sasa usiku ndo ikawa haiwaki hapo kwenye WiFi, dah toka Jana usiku naangaika kuweka sawa kila MTU nikimuuliza anashindwa kumbe ishu yenyewe ni ndogo aargh . Nashukuru sana mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom