Naomba msaada kuhusu hii Samsung J7 pro.

Deva

JF-Expert Member
May 29, 2018
1,238
1,801
Salaam wakuu wenye hili jukwaa.

Samsung 7 pro imecrack screen nimeingia kwenye mafundi screen replacement wanasema bei ghali sana, nikaingia online kutafuta touch sreen only,

Nimeipata kwa bei cheap, sasa nakuja kwenu wataalam mniambia kama inawezekana kureplace touch screen peke yake? bila kuathiri display? ikiwa ni namna ya kupunguza gharama?

Asanteni.
 
kwa nini usiende kwa mawakala wa dealer wa sungung kwa uwakika zaidi tena unaweza uka contact now ata fb kwanza
 
pia nina shida na simu aina hiyo,simu inachemka ikiwa inachajiwa pia charge inaingia na kukata...naombeni msaada Wa fundi mzurinwa sumsung Niko dar.
 
Kuna mafundi ukifika wanakuambia kuwa zinakuja complete hata kama ni touch gu imecrack
Mziki upo kwenye kuivua hiyo digitizer touch screen!!
Lolote laweza kutokea so why baadhi ya mafundi wanakwepa lawama coz akivunja display wewe mteja utakuwa mgumu kumuelewa
 
aisee basi sahivi nimepata angalau mwanga kidogo.
 
Back
Top Bottom