Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu nawezaje kupata channel kwa smart tv bila decorder?? Yaani smart tv yenyewe isiyo na decorder ndani!.. Msaada wakuu..
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia simu ya mkononi, naomba kufahamu njia ipi ya kuunganisha files ambazo zipo katika mfumo wa pdf? Yaani namanisha kuunganisha file 1 na file lingine ili nipate 1file only. Natanguliza...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute... 1. Galaxy M...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba kupata hiyo software kwa alienayo au kupata link itakayonifikisha huko nitakapoipata free. nikipata latest version itakuwa vizuri sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Nina Simu aina ya tecno l9 plus ina tatizo La kutopandisha mtandao (inaandika emergence call only) hii ni baada ya kuifanyia hard reset. line zinasom ila zinaandika emergency...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi, Naomba mwenye free links za kushusha online projects za after effect anisaidie. Nahitaji hasa hasa za wedding. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
605 Views
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Tinnitus
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni duka gani la vitabu lililopo kariakoo ambapo naweza kupata hiki ktabu the last plague, nina shida nacho sana . Ata kama utakuwa nacho ktk mfumo wa soft copy unaweza nitumia ... Sent using...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, naitaji pc aina ya Lenovo ThinkPad X130e 4 GB RAM na 320 GB hard disk Naitaji imnitajie bei tafadhali kwa wauzaji. ikiwa mpya.
0 Reactions
6 Replies
940 Views
Msaada kwa watalamu wa maswla ya kibenki hasa kuhusu makato na riba na kwa upande wa master card na visa ipi ni bora zaidi na nikwa bank gani ndo inakua freshi zaidi Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wataalamu wa website kuna blog nilikuwa nafungua na kusoma lakini tangia juzi kila nikifungua haifunguki. Naombeni mnisaidie nijue tatizo ni nini?
1 Reactions
6 Replies
890 Views
Poleni majukumu ya maisha wakuu. Kama kichwa kinavyosema, shida yangu ningepeda kujua ni madhara gani ya kutumia windows ambayo haijawa activated. au Kuna madhara gani kutumia windows ambayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi! I am a self taught fullstack Web and mobile developer, using JavaScript front-end and backed. Kwa wale wanaotaka kujifunza web development for fun or career. Nitaanza kutoa...
5 Reactions
0 Replies
800 Views
Habari za saa hizi, naomba msaada wa software inayoweza kuflash huawei modem e8231s-1 wingle.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unayo naomba uni flsh PM ......no stories Ikiwa NEW itapendeza Thanks..
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Habari wana JF...samahani,naomba kuuliza kama hii hometheatre ina uwezo kushinda subwoofers. Yaan ina mziki mkubwa na mzuri??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Wataalam nina desktop yangu sijaiwasha huu mwaka wa tano nlkua safari nimerudii vipi itakua nzima kwa chombo cha umeme miaka mi5 bila kuwashwa??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Wakuu, Leo amekuja mtu hapa nilipo ameniambia kuwa kuna app inaitwa humaniq app ambapo ukiwaunganisha watu wa nne unapata mkwanja lakini nimejaribu kumuuliza inahusiana na nini ameshindwa kunipa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu nisaidieni app ya kutengeneza jingle na effect kama ipo
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimejaribu kutumia USB device bila mafanikio.Simu yangu in LA,7.Nifanyeje wadsu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom