Msaada wa kuactivate windows 10

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,552
Poleni majukumu ya maisha wakuu.

Kama kichwa kinavyosema, shida yangu ningepeda kujua ni madhara gani ya kutumia windows ambayo haijawa activated. au Kuna madhara gani kutumia windows ambayo haiko activated?

Kama picha inavyoonyesha kwa apa chini.

1554663919451.jpeg
IMG_20190407_220051_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni majukumu ya maisha wakuu.

Kama kichwa kinavyosema, shida yangu ningepeda kujua ni madhara gani ya kutumia windows ambayo haijawa activated. au Kuna madhara gani kutumia windows ambayo haiko activated?

Kama picha inavyoonyesha kwa apa chini.

View attachment 1065433View attachment 1065435

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya features kwenye windows utazikosa ama hazitofanya kazi...na kama unataka kuiactivate, download software inaitwa KMSPICO, hii huactivate windows pamoja na MS Office kwa ujumla.
 
Kuna baadhi ya features kwenye windows utazikosa ama hazitofanya kazi...na kama unataka kuiactivate, download software inaitwa KMSPICO, hii huactivate windows pamoja na MS Office kwa ujumla.
Akhsante mkuu,
 
Ndio...ni free, ila unabidi uwe makini kipindi unaidownload kwenye hizi website maana utakutana na nyingi ambazo ni feki ila linatumia hilo jina.
Ukiona baada ya kudownload alafu unainstall kwenye pc yako alafu ukakuta inafanya download nyingine ujue kabisa sio hii.
Samahani ni website gani ambayo ni sahihi kudownloadia,?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom