Wataalamu wa website naombeni msaada

Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
196
Kwa wataalamu wa website kuna blog nilikuwa nafungua na kusoma lakini tangia juzi kila nikifungua haifunguki. Naombeni mnisaidie nijue tatizo ni nini?
 
inaleta error gani??? kama ni .blogspot zinasumbua sometimes so nunua domain or host wordpress, ukikwama nichek
 
Kwa wataalamu wa website kuna blog nilikuwa nafungua na kusoma lakini tangia juzi kila nikifungua haifunguki. Naombeni mnisaidie nijue tatizo ni nini?

Sisi tutajuaje? Blog hatuijui? Sio ya kwetu,hivi wewe ni kichaa?
 
Back
Top Bottom