Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
Wakuu nawezaje kupata channel kwa smart tv bila decorder??
Yaani smart tv yenyewe isiyo na decorder ndani!..
Msaada wakuu..
Yaani smart tv yenyewe isiyo na decorder ndani!..
Msaada wakuu..
Ni nini hiyo dvb 12 mkuu??Yaani unamaanisha tv yako haisapoti dvb t2
tusubiri majibu mkuu me naonaga mizinguo mingiNilishaulizaga ili swali story zikawa nyingi kuliko majibu yenyewe ya swali