NJIA IPI YA KUUNGANISHA MAFAILI

NJIA IPI YA KUUNGANISHA MAFAILI

Emmathias

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
681
Reaction score
970
Natumia simu ya mkononi, naomba kufahamu njia ipi ya kuunganisha files ambazo zipo katika mfumo wa pdf?
Yaani namanisha kuunganisha file 1 na file lingine ili nipate 1file only.

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Tumia wps office inayo hiyo option

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Nenda kwenye hiyo option kazi yako yote kwishaaaaaaaa
IMG_20190411_140826_344.jpeg


Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Back
Top Bottom