Bank account

Bank account

i 37

Senior Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
155
Reaction score
56
Msaada kwa watalamu wa maswla ya kibenki hasa kuhusu makato na riba na kwa upande wa master card na visa ipi ni bora zaidi na nikwa bank gani ndo inakua freshi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
achana na masuala ya makato ,, Master card ni bora zaidi kwa kua ina uwanja mpana zaidi wa matumizi
 
Master card ni bora zaidi kwa kua ina uwanja mpana zaidi wa matumizi
Ila kwa wadau wa Online transactions mastaercard ina limitation, VisaCard haina usumbufu hivyo kuwa bora zaidi.

Mfano hai
- Ukifanya deposit fedha SKRILL kwa kutumia mastercard huwezi ituma kwa Fx Broker.
- Ila ukitumia VisaCard hupati tatizo lolote.
 
Ila kwa wadau wa Online transactions mastaercard ina limitation, VisaCard haina usumbufu hivyo kuwa bora zaidi.

Mfano hai
- Ukifanya deposit fedha SKRILL kwa kutumia mastercard huwezi ituma kwa Fx Broker.
- Ila ukitumia VisaCard hupati tatizo lolote.
Kuna maali niliwai soma nikakuta huduma zao zote nikama zinashamiiana na mastercard kuna price protection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliwai soma nikakuta huduma zao zote nikama zinashamiiana
Kimatumizi zote ziko sawa, kwa kutegemea matumizi yako ni yapi.

Gharama za Makato kutokana na matumizi ya kadi husika - Hii inategemeana ni benki ipi iliyokupatia iyo card, Kuna baadhi ya benki wana makato flat rate na zingine ni kwa asilimia kutegemea kiasi cha fedha na pia benki zingine hazina makato kwa matumizi ya kadi husika.
 
Skrill - Ni njia ya kuhamisha fedha kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao, ambapo instantly mtu anapokea fedha muda huo huo kwenye account yake ya skrill.

FX = Forex Broker - foreign exchange
Me nilitaka kwaajili ya online transactions ivo itakua bora zaidi kama nikichukua visa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom