Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jinc yakuweka ayo maneno kwenye picha apo mafano mdee...kabla ya post zako
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Wakuu kama heading inavosomeka! Mwenye hii kitu au hata link yake plz naomba msaada! Ninazopata naona zinazingua ... isiwe demo
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Ndugu wapendwa habarini za usiku. Naombeni msaada WhatsApp yangu haifanyi kazi , niliunstall na kuinstall upya lakini naletewa ujumbe huu
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu na watalaamu wa jukwaa hili la sayansi . Nisingependa kupoteza mda ila tu niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi lililonileta eti kati ya brand hizi yaani LG , Samsung na...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu napenda kuuliza jinsi gani unaweza ku upgrade OTA kwenye azam kwa anae jua
0 Reactions
2 Replies
4K Views
A graded series/ Land Of Easterners ROTATION Earth has been destroyed by war and no one lives on it anymore. The robots and the machines continue to function and serve human beings who have long...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Wanajamvi natumaini mpo vizuri! Niende moja kwa moja kwenye mada wadau, ipo wazi kwamba Samsung imekuwa ikifanya fizuri kwenye soko la simu za mikononi tangu robo ya kwanza mwaka 2012 ilipochukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kulingana na kichwa cha habari! Natumia win 8.1, mwanzoni apps zote zilikuwa zinafunguka (kufanya kazi kama kawaida). Lakini kwa sasa kuna bahadhi ya apps hazifunguk. Je, tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini jamani naombeni msaada jinsi ya kufanya mtandao wa 3G uwe 4G kwenye android
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari za mda huu, toka Jana nimekumbwa na hili tatizo yaani kila nikijaribu kuchukua screen shots kwenye simu yangu, nashindwa tatizo laweza kuwa nini?.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mfano data zipo ivi Data zimejichanganya kwa majina kujirudia Juma 1 Aisha 2 Tom 1 Juma 3 Tom 2 Tom 1 Aisha 1 Njia gani natumia ili data zikae ivi Juma 4 Aisha 3 Tom 4 Note: nataka ni njia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali naomba Apk ya Gbwhatsapp kwa ajili ya iphone, nimejaribu niliyokuwa nayo kwenye techn imegoma, naomba mwenye hii kitu kwa ajili ya Iphone anisaidie, nimejaribu kudownload bila mafanikio...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna wale wazee wanapenda kutunga habari na kuisambaza kwenye magroup ya whatsapp na kudai imeiandikwa na tasisi flani au ni nukuu ya mtu flani, sasa mwisho wao umefika vinginevyo wataishia jela...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Namna ya kuinstall GBwhatsapp kwenye iphone Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
5K Views
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ? iOS 12 will continue supporting...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nna simu yangu TECNO K8,haijatumika muda mrefu kama mlezi miwili...ilikua off na betri ilizima kwa muda wote huo.. Leo imechajiwa na imewashwa na imewaka lakini imebaki kwenye logo ya tecno kwa...
0 Reactions
3 Replies
608 Views
Habari. Wana JF naomben Naomben munielekeze jinsi ya kutoa pesa kutoka Google AdSense maana nimeona Kuna ki pick. Payment kwenye Western Union ilio kalibu na eneo nilipo ndan ya sku 60...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Eleza tatizo ujifunze kutatua tatizo la Simu hiyo upande wa software.Ukijua kimoja ndio njia ya kujua kingine.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau poleni sana majukumu ya kila siku... naombeni program ya microsoft office plz... ahsante natanguliza shukrani
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kuhusu hili Natafuta maduka yanayouza PCB za kutengenezea circuit za amplifier yanapatikana wapi sana sana kwa singida wakuu nisaidieni asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…