Msaada jinsi ya kuchange 3G-4G

Msaada jinsi ya kuchange 3G-4G

Epedu

New Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Habarini jamani naombeni msaada jinsi ya kufanya mtandao wa 3G uwe 4G kwenye android
 
Nenda settings then chagua group ihusuyo networks and connections kutegemeana na aina ya simu na android version (settings menu ya samsung haifanani na ya tecno). Tafuta mobile/cellular networks then tafuta preferred network type then select 4g/3g/2g (auto).
 
Mfano simu haina option ya 4G je
 
Mfano simu haina option ya 4G je
Then hiyo haisupport 4g maana yake antena zake za kukamata mawimbi ya mawasiliano hazina nguvu kubwa ya kunasa mawingi yajayo kwa kasi ya 4g.
 
Xi kuna code zakupiga sio
 
Xi kuna code zakupiga sio
Labda ili uelewe vzr zaidi ni hivi. Unakumbuka kulikuwa na radio za AM na SW? Zile redio zilikuwa hazikamati FM. Baadae teknolojia ya AM na SW ikapitwa na wakati ikaja FM. Nahisi hii pia italita itakuja teknolojoa nyengine.

Kwenye network za televisions kulianza analogy na sasa imekuja digital.

Kwenye simu ilianza 1g, ikaja 2g, ikaja 3g ikaja 4g, na bado zinaendelea.

Sasa simu ilotengenezwa zamani inakuwa haina 4g mana enzi hizo hata teknolojia ya 4g haikuwepo. Kwaiyo hata upige code gani huwezi badili kitu ni kama ilivyo redio za zamano za AM ambazo hazikuwa na FM hakuna unachoweza kufanya zikamate FM unless kama utaongeza hardware accessories.
 
thnkx
 
Inategemea na hiyo sim kama inayo sio sim zote zote zina 4g
Nenda settings then chagua group ihusuyo networks and connections kutegemeana na aina ya simu na android version (settings menu ya samsung haifanani na ya tecno). Tafuta mobile/cellular networks then tafuta preferred network type then select 4g/3g/2g (auto).
 
Nimeligusia suala la simu kuwa inasupport ama haisupport 4g
 
Back
Top Bottom