DLL FILE FIXER

the_forum

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
770
1,000
Wakuu kama heading inavosomeka! Mwenye hii kitu au hata link yake plz naomba msaada! Ninazopata naona zinazingua ... isiwe demo
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
17,000
2,000
d3dx9_43.

PES
tafuta ndani ya game file liitwalo _redist au _commonRedist kisha ndani utakuta software ya direct x. run hiyo software. hakisha pc umeconect kwenye internet.
pia hakikisha kama kuna dotnet pia inistall na microsoft vc++ (vcredist)

ukivikosa nenda web ya microsoft download direct x ya kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. nadhani moja kati ya hizo ndio hufix.

ila wakati mwingine naonaga hiyo error huletwa na gpu kuwa na uwezo mdogo pia. muhimu apdate pia driver za gpu.
 
Sawa mkuu,nitafanya hvo...nashukuru
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom