Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,371
- 4,847
Habari zenu wakuu na watalaamu wa jukwaa hili la sayansi .
Nisingependa kupoteza mda ila tu niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi lililonileta eti kati ya brand hizi yaani LG , Samsung na Sony ni ni brand ipi ambayo iko chini kidogo tofauti na zingine katika uuzaji wa bidhaa zake ila bidhaa zikawa na ubora ule ule kama zile ziuzazo kea bei ya juu.
Nini hasa kilichoongezeka katika hizi TVs ambacho kina endana na uhalisia wa maisha yetu ya kitanzania. Katika matumizi ya kila siku ?
Je kuna uhitaji wa ulazima sana kwa jamii yetu ya kitanzania kumiliki hizi smart TVs ? Pia nini hasa ambacho ni unique kwa smart TVs ambacho LED na LCD hazina.