hizo ni quick fixes mkuu, hua hazinaga msaada wowoteSasa usichoelewa ni maana ya hayo maneno au?
Ikishindikana baada ya hapo basi aigonge ukutaniUlikua unailipa mshahara?...(Just joking)
Fuata maelekezo hayo mkuu, washa data na hakikisha simu yako ina Salio la Data (MB) kama MB zipo na tatizo linaendelea kuwepo jaribu kuzima na kuwasha simu yako
Bila shaka unatumia TECNO W5 mkuu ndo tatizo lake hilo.Ndugu wapendwa habarini za usiku.
Naombeni msaada WhatsApp yangu haifanyi kazi , niliunstall na kuinstall upya lakini naletewa ujumbe huu
Nilifanya FACTORY RESET Simu boss linaisha au Kama uko Dar peleka pale makao makuu ya TECNO POSTA NHC HOUSE samora watakupigia ROM mpya ni bure tu Mkuu.Ulishawahi kusolve tatizo la aina hii?
Asante mkuu,nilifikiria kufanya reset ya simu lakini mwenye simu ameogopa kupoteza namba zake.Nilifanya FACTORY RESET Simu boss linaisha au Kama uko Dar peleka pale makao makuu ya TECNO POSTA NHC HOUSE samora watakupigia ROM mpya ni bure tu Mkuu.
Nani kamuongopea ukifanya RESET unapoteza namba za simu unachopoteza ni data tuAsante mkuu,nilifikiria kufanya reset ya simu lakini mwenye simu ameogopa kupoteza namba zake.
[emoji38][emoji38]Hapo unatakiwa kwenda kusajili line yako kwa alama za vidole