This app can't run on your PC

Blue Bahari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,224
1,129
Naomba msaada kulingana na kichwa cha habari!
Natumia win 8.1, mwanzoni apps zote zilikuwa zinafunguka (kufanya kazi kama kawaida). Lakini kwa sasa kuna bahadhi ya apps hazifunguk.
Je, tatizo linaweza kuwa nini?
Nifanyeje?
Natanguliza shukrani.
 
Zishakuwa destroyed mkuu. Angalia properties. Zinaonyesha zina mb 0.

Kama zilikuwa crack software hapo windows defender ishafanya yake

Back
Top Bottom