Vifa vya electronic kama vile PCB

Vifa vya electronic kama vile PCB

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
39
Wakuu nisaidieni kuhusu hili

Natafuta maduka yanayouza PCB za kutengenezea circuit za amplifier yanapatikana wapi sana sana kwa singida wakuu nisaidieni asante
 
Nenda Ubungo karibu na highway ya kwenda Udsm kuna duka linaitwa baflo au uliza hilo jina
 
Laaa mi nipo naeneo ya singida mkuu vp kwa hapa mjini napata kweli?
 
Back
Top Bottom