article
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 192
- 349
Wanajamvi natumaini mpo vizuri!
Niende moja kwa moja kwenye mada wadau, ipo wazi kwamba Samsung imekuwa ikifanya fizuri kwenye soko la simu za mikononi tangu robo ya kwanza mwaka 2012 ilipochukua namba moja kama mzalishaji mkuu wa simu za mikononi ikiipita Nokia iliyokuwa ikishikilia nafasi hiyo.
Samsung inaendelea kufanya vizuri hadi sasa ikiwa katika mstari wa mbele kwenye mapinduzi ya technologia kwenye simu za mikono hasa kwenye upande wa technologia ya vioo vya simu na “Chips” za Simu.
Licha ya ukongwe wa miaka kadhaa kwenye utengezaji wa simu, Samsung imejikuta katika wakati mgumu baada ya simu yao mpya inayofunguka kama kitabu( samsung fold) inayouzwa kwa dola za Kimarekani 2,000. kuonyesha mapungu makubwa hasa kwenye upande wa kioo yaliyogundulika baada ya kufanyiwa tathmini na watathmini mbalimbali maalufu wa simu ulimwenguni kama vile Marques Brownlee.
Mambo yameiendea kombo samsung kwenye simu ya samsung fold ambayo inaweza kupata matatizo ya kutoonyesha kwa urahisi pale unapoidondosha au kutoa cover ya plastic kwenye kioo chake hali iliyopelekea samsung kusitisha uzinduzi wa simu husika kwenye baadhi ya maeneo duniani.tathnini ya hasara bado haijafanyika lakini hili tatizo lina financial implications kubwa.
Pia Samsung imelazimika kuwaomba waliofanya tamthmini ya simu husika warudishe zimu husika ambazo zimeonyesha matatizo ya kioo kwa ajili ya kuzifanyia uchunguzi wa kina.
Nawasilisha.
Article.