moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Nna simu yangu TECNO K8,haijatumika muda mrefu kama mlezi miwili...ilikua off na betri ilizima kwa muda wote huo..
Leo imechajiwa na imewashwa na imewaka lakini imebaki kwenye logo ya tecno kwa muda wa dakika 30..ime freeze tu na haiendelei mbele.
Mwenye kujua tatizo ni nini na kipi cha kufanya aniambie.