unachukua screenshot wapi? kwenye simu? computer? simu gani?Wakuu habari za mda huu, toka Jana nimekumbwa na hili tatizo yaani kila nikijaribu kuchukua screen shots kitu chochote nashindwa tatizo laweza kuwa nini?.
Aina ya Simu. !!!!!Samahani mkuu ngoja nitafanya marekebisho, ni kwenye simu.
Bonyeza batani ya kuzimia.na ya kupunguza sauti kwa wakati mmojaWakuu habari za mda huu, toka Jana nimekumbwa na hili tatizo yaani kila nikijaribu kuchukua screen shots kwenye simu yangu, nashindwa tatizo laweza kuwa nini?.
Mkuu ni kwenye simu.
we jamaa kibogo kila nikiona comment yako lazima nikenueUwe unaleta kila kitu kuepusha maswali mengi, tumeweka macho Pyongyang uwe unaokoa muda mkuu.