msaada microsoft office 2007

msaada microsoft office 2007

Joined
Jan 21, 2018
Posts
35
Reaction score
33
wadau poleni sana majukumu ya kila siku...
naombeni program ya microsoft office plz...
ahsante
natanguliza shukrani
 
Kwann mkuu nipe elimu mkuuu
Kila mwaka Microsoft anatoa updated version ya software zake na tukija kwenye suala la MS Office tangia alipotoa ya 2007 ikafuata 2010, 2013, 2016 na kuendelea.
Na ukitafuta Ms Office ambalo ni toleo jipya zaidi ya ile iliyopo ndipo utapata features nyingi zaidi na ufanisi wa hali ya juu.
Mfano; hizi toleo mpya endapo ukazifungua unaweza kuunganisha na account zako kwa online backup, kuna sample template ambazo ni rahisi kukusaidia mfano kama hujui namna ya kuandika...na mengineyo mengi sana ambayo hakika hutojutia kuzitumia.
 
Asaaante sana kaka
 
Samahani mkuu kwa interruption, window ipi itakuwa ni nzuri na latest kwa matumizi ya kawaida, mana nina window 8 pro, inanisumbua tether na kushare ma file na sim kama inaitaji recovery na updates
Thanks in advance
 
Windows 10 ndo wameiadvance zaidi kuliko hizo zingine hususan windows 8.
So, Windows 10 is good to go to.
 
Samahani kwa usumbufu mkuu, kuna jamaa angu alikuwa ananisaidia kuniwekea windows ingawa alikuwa aniwekei keys zake, sasa nataka niweke hiyo window 10 ambayo ipo activated kabisa, inaweza kunigharimu kiasi gani?
 
Hiyo haina shida katika kuiactivate, download KMSPICO mtandaoni, hii itakusaidia kuactivate MS office pamoja na Windows kwanzia 8, 8.1 na and10

Back
Top Bottom