Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

MSAADA | Anayejua namna ya kutengeneza File ( Picha ya Google ) ili Picha ( Likibonyezwa lin-redirect kwenda kwa url ( Website ) nyingine ) Mfano picha hapa chini !! Msaada wa Haraka !! Cc...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Habari za humu wakuu, Nipo na pc yangu sasa kuna mtu aliweka flash yake kumbe ilikuwa na viruses, kinachofanyika ni kwamba wanakula kila application setups. Kila application iliyo kwenye pc...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu natarajia kupata panel ya 150w, Battery 120ah na Charger Controller 15a, mahali ninakoenda kufunga umeme haujafika ila nyuma tayari ina wireling ya Tanesco, je wireling hiyo itafaa kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajuz wa mambo ya kompyuta naombeni msaada wa maelekezo nn nifanye. Kwny komputa yangu haifungui program na files zote. Yatito Ni nin hasa. Nimeambatanisha na picha halisi inavyoandika nikifugua...
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Wakuu nipo kwenye mchakato wa kuweka sawa site yangu niliyowetengeza kwa wp,nna issue moja kwenye related post, nilihitaji zikae chini ya post lakin hii inaonekana pembeni ya post.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
NILICHOGUNDUA KUHUSU PROPELLER ADS Propeller ads huu mtandao hulipa bloggers Kutokana na kila mtu anaye tembelea blog yake.toka nijiunge na mtandao huu nimekua Niki ambulia $0.00 kila nikijaribu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Naombeni mwenye kujua inapouzwa, au anayeuza, miwani ya anti-blue rays kwa ajili ya kutumia kwenye kompyuta anisaidie. Angalau niipate Dar Es Salaam au Bagamoyo. Mawasiliano 0759947397...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Jana nilipata notification kuwa android 9 ipo tayari kwa simu yangu (Samsung galaxy S8) nikaweka kifurushi kisha nikapakua na ku install updats. Kweli simu ikapanda toka android 8 to 9. Pia...
0 Reactions
112 Replies
15K Views
Salaamu... kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, kwa wataalamu wa soft ware mnisaidie. Simu yangu nikiwasha data tu inajilistart, nimei format na kufanya restoration mara kadhaa lakini still...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau kama hapo kichwa kinavyojieleza naomba msaada wa kupata Application nzuri ya kuficha SMS calls au photo kwa Android ukitaja jina lake kama ipo play store au link yake ya ku...
1 Reactions
25 Replies
14K Views
Salaam wanajamvi. Naomba kujulishwa namna hii au app inayotumika kuandika . Natakunguliza shukrani
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msaada tafadhali, Wakuu simu yangu Samsung note 4 huwa haileti na haioneshi delivery report nikituma SMS. Kila kitu nimeset vizuri upande wa message. Pia haileti notifications za JF japo kila...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Kutokana na changamoto za umeme kukatika katika au baadhi ya maeneo kutokuwa na umeme Nimebuni mashine hii ambayo itamwezesha kinyozi kuendelea na shughuri yake ya kunyoa bila kujali umememe upo...
13 Reactions
25 Replies
8K Views
Wakuu poleni na majukumu.. Hivi kwa tatizo hilo hapo nafanyaje kulitatua na garama zake? Asanteni
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tunafahamu kwamba kuna njia tatu za kutambua kama hii simu inakaa na chaji au la. Njia zenyewe ni "mAh", "nm" na "optimization". Katika hizo njia, njia ambayo simu zake bei rahisi ya "mAh". Kwa...
6 Reactions
25 Replies
10K Views
Hello Jforums ikiwa ni juma pili njema yenye kupendeza machoni kwa bwana,leo ningependa tuelimisha mawili matatu juu ya baadhi ya mitandao ambayo inaweza kukusaidia kwa namna moja ua nyingine...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Tengeneza website bila kuwa na ujuzi, copy link hii.... http://wapkw.net kisha jiunge kwa maelezo na msaada register kwenye website yangu, link...... http://sixters.wapkw.net
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cosota wanafanya kazi kwa vitengo?
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Habari wana Jf Kuna kitu ambacho kinakera sana pindi napoenda kufuata huduma mahali nakutana na huu msemo MTANDAO UPO CHINI najikuta nalazimika kusubiri mpaka masaa 3 na kuendelea, Yawezekana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee simu yangu inakataa kuactivate iMessage inabaki ikisema Waiting for activation IOS Ipo uptodate Natimia wireless na nertwork ya kawaida ila bado Help me
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…