Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Unaangalia uzi fulani, na huo uzi una video, ukiifungua hiyo video unaambiwa view attachment lakini nikikliki haifunguki. Wadau kwa hapo nifanyeje ili niione hiyo video?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inakuwaje wakuu natumain mko vizuri sana usiku huu Mim kuna kitu kinanichanganya sana katika swala la SEO kwenye website na blogs hasa hizi za hosting ya google, nimekuwa nikigoogle na kujaribu...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Ni siku 8 leo nalala giza, joto limenishambulia mpaka limeshinda. Siku ya tatizo nimenunua umeme sasa naingiza umeme ukaingia ila ndani haukuwaka. Nikawapigia simu wakasema imejilock nisubiri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninatumia Samsung Smart 40, 4k. Ilianza shida ya kuonyesha hizo rangi. Inaonyesha kwa muda inarudi kawaida. Ila tokea juzi haijarejea katika hali yake ya kawaida. Shida ni nini? Na inatatulikaje...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Wakuu salamu zenu katika ubora. Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi. Sifa zihusishe...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Hello guys I hope mko poa, Ninayo digital alarm clock inatumia battery moja zile kama za kwenye remote, sasa kero ni kwamba napozinunua battery zikiwa mpya huwa zinafanya alarm ipige kelele mpaka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naitaji kujua namna ya kufanya printer au kuicconnect na LAn
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wakuu, nahitaji kununua simu hii Huawei Y9 Prime ila sina uzoefu nayo na sijawahi kuitumia. Katika hii simu nimependa display kubwa, front camera desgn, na ubora wa picha kwa matumizi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kawaida ukiwa na Website baada ya kutengeneza lazima uunge Website yako kwenye searches kama Google, Bing n.k. Pia ilikuwa lazima ujiunge na huduma kama Google Analytics, Google Console, Site...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama hapo kichwa kinavyosema, nilikuwa naomba tujuzane ni kampuni ipi nzuri kwa bloggers ili kuweza kupata faida kutokana na blog yake. Najua wapo waliofaidika na wanaofaidika hivi sasa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba Mwenye uelewa jinsi ya ku-block SMS zinazoingia kwenye sim bila Namba ... Kwa mfano Alert za polisi, mtumaji husomeka POLISI bila Namba kuonekana Ninachohitaji sasa hapa "Ni Jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Watalaamu habari, Naomba kufahamishwa nini kazi za South Bridge na North Bridge katika kompyuta?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Tatizo lilianza pale tu ambapo simu ilianza kusitisha kuendelea na kufanya uchakataji wa taarifa kipindi nilipokua naitumia. Kwa mfano, Ukiwa unaangalia video au kutuma ujumbe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wanaofahamu naombeni mnisadie
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Msaada wa maneno haya 1)Patch Certificate 2)QCN 3)Certificate 4)Encypted File System (efs)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye kufahamu jinsi ya kuunlock hizi modem anipe msaada ili niweze kutumia hata katika line mbalimbali. Sasa hivi inatumia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada nimeweka password kwa kutumia email kwenye PC na sasa imegoma kuwaka.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenye ufahamu shida ya hii Lenovo think centre atujuze. Nimejaribu idea zote nilizo pata online lakini bado shida ipo. Mambo niliyojaribu : - change power supply - reset cmos - upgrade/degrade...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kuondoa hii add, inanisumbua sana kwenye simu yangu kila muda inatokea.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…