Msaada: Umeme umeingia lakini umegoma kuwaka

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
631
Reaction score
512
Ni siku 8 leo nalala giza, joto limenishambulia mpaka limeshinda. Siku ya tatizo nimenunua umeme sasa naingiza umeme ukaingia ila ndani haukuwaka. Nikawapigia simu wakasema imejilock nisubiri mafundi waje kuhakikisha.

Mafundi wakafika usiku wakacheki mita wakasema nzima ila kuna namba utatumiwa ukizipata ziingize umeme utawaka. Baada ya siku 2 nikazipata nikaziingiza ila haikuwaka. Toka siku ile nikiwapigia wananiambia wamewaachia watu wa Luku tatizo langu watanipigia.

Mpaka leo siku ya nane kimya kila nikiwapigia wananisumbua then ninayeumia ni mimi sio wao.

Wataalamu nifanyeje ili niweze kurekebisha
 
Endelea kuwasumbua tu,ikiwezekana watafute mamlaka ya juu zaidi ya hao
 
Ni siku 8 leo nalala giza, joto limenishambulia mpaka limeshinda. Siku ya tatizo nimenunua umeme sasa naingiza umeme ukaingia ila ndani haukuwaka. Nikawapigia simu wakasema imejilock nisubiri mafundi waje kuhakikisha.

Mafundi wakafika usiku wakacheki mita wakasema nzima ila kuna namba utatumiwa ukizipata ziingize umeme utawaka. Baada ya siku 2 nikazipata nikaziingiza ila haikuwaka. Toka siku ile nikiwapigia wananiambia wamewaachia watu wa Luku tatizo langu watanipigia.

Mpaka leo siku ya nane kimya kila nikiwapigia wananisumbua then ninayeumia ni mimi sio wao.

Wataalamu nifanyeje ili niweze kurekebisha
wa PM hawa TANESCO
 
Kuna uzi wa tanesco humu wacheki watakujibu instant
 
Back
Top Bottom