Msaada: Nimetumia email kuweka password PC imegoma kuwaka (HP)

Msaada nimeweka password kwa kutumia email kwenye PC na sasa imegoma kuwaka
Sio sababu hiyo.
Labda utuambie ulifanya nini baada ya kuweka password kwa kutumia email.
Maana baada ya kuweka huwa inasign out kwa hiyo inatakiwa usign in kwa kutumia password za email na sio za kawaida
 
Mkuu unavyosema imegoma kuwaka unamaanisha nini ? Uki press ile button ya power pc haiwaki kabisa ?
Au inawaka lakini ukweka password inagoma kuendelea ?
Pc aina gani ?
Una uhakika battery yako ina charge ?
Umejaribu kutoa battery na kuiwasha kwa kutumia umeme wa kwenye adapter ?
 
Mleta mada mwenyewe kaishia porini yaani kala ndefu hapa tumebaki kubuni tu labda pc yake ilizima na ikagoma kuwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom