Wataalamu wa Samsung, hii shida inatatulikaje?

Sandeni

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
666
292
Ninatumia Samsung Smart 40, 4k. Ilianza shida ya kuonyesha hizo rangi. Inaonyesha kwa muda inarudi kawaida. Ila tokea juzi haijarejea katika hali yake ya kawaida.

Shida ni nini? Na inatatulikaje?

Msaada.

IMG_20191105_202335.jpeg
 
Ikiwa on king'amuzi inakuwa hivyo. Wataalamu, semeni neno

IMG_20191105_202750.jpeg
 
chizcom,

Duh. jana usiku niliamua kuiacha on, asubuhi nikaikuta very clear. Nilivyozima na kuwasha ikarudia kwenye tatizo.
 
Sandeni,

Ni inchi ngapi mkuu, hapo huna kioo ndio basi kitaendelea hivyo mwisho wa siku hutaona hata hiyo michirizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom