cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 397
Inakuwaje wakuu natumain mko vizuri sana usiku huu
Mim kuna kitu kinanichanganya sana katika swala la SEO kwenye website na blogs hasa hizi za hosting ya google, nimekuwa nikigoogle na kujaribu kuona kama naweza kupata command yani code utakazoweka kwenye blog yake ije kuipiku hizi website.
lakin sijawahi kuona kitu kama hicho, kingine cha ajabu ni kwamba wanatumia website, post zao zinaonekana directly kiurahisi sana google tofauti na blogs ambazo mara nyingi ukikusearch neno fulani ni lazima uende google plus alafu ubonyeze ndo uwende kwenye website yenyewe,
sasa nikasema labda blogs haina reputation google lakin hata website ikakaa miez sita ukija kupost ndani ya week tu, google inaonekana website ina reputation kabisa
kingine ni namna ya customize hiz link ajili ya kuonekana kiurahisi google ntatoa picha hapa, mfano ukisearch diamond platnumz mara nyingi kwenye top 10 ya kwanza lazima bongo5 awepo na inatokeaga hivi
sasa nimejariku kufanya customization kuanzia article ninavyoandika mpk link yake lakin jana nikasearch diamond kwenye google kilichokuja ni kwamba post yang ipo lakin lazima upitie kwanza google plus alafu ndio uende kwenye website hiyo

naomba kulizwa swali hapo ni namna gani naweza kutengeneza post ambazo zitaonekana na google directly bila ya kupitia google plus
Samahani kwa maneno yangu marefu kidogo asanteni
CC Young Master, Msamiati , ymollel @njuwa wamavoko , C6 Chief