Hawapowajuzi
Msaada wa maneno haya
1)Patch Certificate
2)QCN
3)Certificate
4)Encypted File System (efs)
Certificate (Digital certificate) ni utambulisho wa taarifa za kidigitali baina ya mtumaji au mpokeaji. Taarifa inapotoka POINT A inatoka na certificate (Utambulisho au kama Passport ya kusafiria) inapofika POINT B , point B anaipokea ile certificate ili kuhakiki uhalali wa taarifa na pia ili aweze namna ya kuifungua taarifa hiyo.
Encrypted file system
Ni mfumo wa uanzishaji (Format) wa mahali taarifa inapohifadhiwa kama vile Hard disk, Memory card, flash disk N.K. kiasi kwamba hauwezi kutambuliwa na mfumo mwingine bali tu ule mfumo uliokusudiwa. Kwa mfano ukitumia Bitlocker ku Lock hard disk ya computer yako hapo umefanya encryption.
asante,,swali langu kuna vibaka waliingia ndani kwangu wakafanikisha kuondoka na flash disk yangu ambayo niliifanyia encryption kwa bitlocker,vipi ataweza kuitumia/kuunlock na kuitumia ikiwa PC ambayo niliitumia kufanya encryption hawakuondoka nayo?Certificate (Digital certificate) ni utambulisho wa taarifa za kidigitali baina ya mtumaji au mpokeaji. Taarifa inapotoka POINT A inatoka na certificate (Utambulisho au kama Passport ya kusafiria) inapofika POINT B , point B anaipokea ile certificate ili kuhakiki uhalali wa taarifa na pia ili aweze namna ya kuifungua taarifa hiyo.