Tatizo la sauti kwenye Computer naomba msaada

Tatizo la sauti kwenye Computer naomba msaada

alohadm

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
360
Reaction score
159
Ndugu zangu desktop yangu haitoi sauti kwa muda sasa na nkatumia sound card ikawa inafanya kazi vzuri. Sasahivi haitoi tena sauti japo nmejarbu kubadilisha sound card ila bado.

Naombeni msaada kwa wajuzi.
 
Una uhakika ume-install driver sahihi ya sauti?
 
driver nimeinstall vzr kabsa ila tatzo haling'oki

Mkuu kama tatizo ni la hardware basi kufanya troubleshooting kwa kuchat tu hapa JF inakuwa ngumu...

Kitu cha kuzingatia ni hakikisha umeinstall chipset driver sahihi, then audio driver sahihi...

Jaribu kutumia earphone uone kama sauti ipo au lah, jaribu kulog in kwa safe mode kucheck kama sauti ipo au lah...
 
Ndugu zangu desktop yangu haitoi sauti kwa muda sasa na nkatumia sound card ikawa inafanya kazi vzuri. Sasahivi haitoi tena sauti japo nmejarbu kubadilisha sound card ila bado.

Naombeni msaada kwa wajuzi.
USB sound card ni tsh ngapi dukani?
 
Back
Top Bottom