Iphond imeibiwa naomba msaada

Iphond imeibiwa naomba msaada

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
631
Reaction score
512
Hey nina shida moja kuna rafiki yangu kaibiwa iphone 7

Je, mtu aliyeiba anao uwezo kutoa lock ile ya mbele na akaendelea kuitumia bila kutoa icloud

Na je simu ikiwa hajawasha internet ninao uwezo wa kuitafuta kwa icloud au mpaka awashe data on

na je ninao uwezo wa kuitafuta kwa imei namba ya simu bila kutumia icloud



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani majibu yote yakiwepo hapa jukwaani yatasaidia wengi. Binafsi sijawahi kukutana na iphone kwenye mihangaiko yangu. Ni moja kati ya simu ambazo siwezi kushughulikia nikishagundua wewe sio mmiliki
 
Back
Top Bottom