Nahitaji kuchukua videos zikiwa HD naomba ushauri kama kamera hii itafaa

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,039
Nina kiproject kidogo cha kuchukua videos kwa ajili ya Youtube channel zikiwa HD.

Sasa nahitaji kununua low budget camera kuna hiki kicamera kinaitwa SJCAM model SJ 4000 AIR vipi kinaweza kuwa kizuri kwa kazi hiyo.

Naomba muongozo tafadhali.
Chief-Mkwawa
 
Video za vipi? Hio ni action Camera inafaa video za nje ambazo nyingi zinakuwa kwenye mwendo kama vile waendesha baiskeli, wakimbiaji mitaani, etc na video zake zinakuwa na curve fulani hivi sio flat.

Kuhusu quality ni 4k usiwe na wasiwasi ni zaidi ya HD.
 
Nina kiproject cha kuchukua videos za vyakula vya ajabu kuanzia vinapikwa mpaka kuliwa ina form of HD hazihitaji kuwa so professional lalkini ziwe nzuri unaweza nipa hints za low budget cameras maana nahitaji low budget camera ya kuzunguka nayo across Tanzania na nahitaji camera ambayo ina option ya full color profile ili atakaye edit awe na uwezo wa kufanya chochote
 
Range ya hio budget mkuu?
 
Isizidi lak saba mkuu yani ranging 300k to 700k
Mkuu kwa hii budget ngumu kupata camera nzuri unless iwe ni used. Hizi point and shoot camera nyingi zimepitwa na wakati na simu nzuri zinachukua video bora zaidi.

Option ulizo nazo ni kama
1. Action camera, zipo kama Go pro, Yi za xiaomi, hio ulioitaja etc zote zina fisheye effect sio nzuri kwa hio kazi yako ila ukikosa kabisa sio mbaya.

2. Camera za bei rahisi ambazo sio dslr (nyingi point and shoot)
Hizi zinapitwa quality hadi na simu, zinakuwa na advantage zake, mfano uwezo wa kujiona pale unaporecord (flip camera) ila kwa muono wangu not worth it.

3. Tafuta used camera, ni risk ila ukipata nzuri inaweza kusave. Pitia kupatana ama magroup ya FB ya matamgazo tafuta dslr camera zigoogle uangalie uwezo wake wa video.

4. Tumia simu, flagship phone zina camera nzuri sana tafuta iphone, galaxies, huawei ama google pixel za kisasa zitafanya hiyo kazi, utafute tu external mic kupata audio nzuri pia.
 
asante sana kwa ushauri wako mkuu
 
Mkuu hizi used ninazoziona ebay na ali express hua ziko vizur
 
Back
Top Bottom