wadau nina swali, nikinunua kitu Online na nikachagua hii shipping ya CHINA POST SMALL PACKET. Je? Mzigo wangu nitaupokelea wapi? Kwani kwenye shipping address hakuna option ya PO BOX, bali kuna location na namba ya simu tu. Msaada tafadhali...
wadau nina swali, nikinunua kitu Online na nikachagua hii shipping ya CHINA POST SMALL PACKET. Je? Mzigo wangu nitaupokelea wapi? Kwani kwenye shipping address hakuna option ya PO BOX, bali kuna location na namba ya simu tu. Msaada tafadhali...
Mkuu @Mwl.Rtc hivi zip code ni sawa na country phone code? Mf. Kwa tza 255?
Je? Mzigo wangu nitaupokelea wapi?
Mzigo utaupokelea posta.
"Kwani kwenye shipping address hakuna option ya PO BOX, bali kuna location na namba ya simu tu. "
Kwa kuwa hakuna mahala pa kuandika, na kwa kuwa malipo ni direct toka kwenye Card yako, hakikisha unawasilina na seller na kumpa maelekezo/ mwongozo wa nini cha kufanya.
Ili kuwasiliana na seller click "My Orders" kwenye profile yako. Kisha nenda kwenye bidhaa husika click "Contact seller"
Hapo mpe P.O. Box unayotaka kutumia na pia muandikie na namba ya simu. Mawasiliano yawe mapema pindi tu baada ya kulipia.
Mfano Wa anwania maelezo unayopaswa kumpa
Name: YMOLLEL JAMII
Address: P.O.Box 4051,PUGU ROAD, ILALA
City: DAR ES SALAAM
Country: TANZANIA (United Republic of)
Zip Code: 00255
Telephone: 00255 (Weka namba yako ya simu)
Kwa huu utaratibu mzigo wako utaupokea salama baada ya siku 14 hadi 45
Kuwepo kwa kodi au kutokuwepo kwa kodi inategemea na ni mzigo gani ambao umeingiza nchini.je kuna extra charges zozote say kodi
Wewe inatakiwa uwe na Sanduku lako la posta, fika Shirika la posta Tz na utapatiwa huduma hiyo, na utaweza kupokea mzigo wako mahala popote TanzaniaNa je wana ofisi hapa Bongo?
Mkuu uwe na budget kiasi gani kufungua sanduku la postaKuwepo kwa kodi au kutokuwepo kwa kodi inategemea na ni mzigo gani ambao umeingiza nchini.
Wewe inatakiwa uwe na Sanduku lako la posta, fika Shirika la posta Tz na utapatiwa huduma hiyo, na utaweza kupokea mzigo wako mahala popote Tanzania