Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,769
Nazani bado unajiuliza maswali Mengi kuhusu simu hii ambayo inaitwa Samsung Galaxy Note 20 Ultra.
iliyotoka mwaka 2020 ikiwa na uwezo mkubwa wa Hali ya juu , muonekano wa kipekee na Teknolojia ya pen ndani yake.
tumefikia mwaka 2025 na Sasa simu hii inapatikana kama simu zilizotumika au zilizofanyiwa marekebisho na kurudishwa sokoni kwa Bei ya chini zaidi lakini swali linabaki je Nina weza kuendelea kununua hii simu mwaka huu 2025 ?
๐๐๐ข ๐ก๐๐๐จ๐๐จ๐ญ๐ ๐
๐ก Software Support
Simu hii ilikuja ikiwa na Android version 11 ikapata update mpaka kufikia android version 13 ndo update ya mwisho hakuna tena android version support lakini simu hii imeendelea kupokea android security update mpaka mwaka huu 2025 hivyo bado kwenye masuala ya usalama Google imeendelea kutoa msaada.
๐พ Hardware Holds ๐
Bado muundo wake unavutia kimuonekano kwani simu hii ilikuja ikiwa na kioo inch 6.9 WQHD + Amoled 120Hz , Snapdragon 865 chipset ikiwa na storage 12GB Ram. Kikiwa na kioo cha Gorilla ๐ฆ Glass Victus fremu laini ya kioo ikiwa na pen ndani yake.
๐ธ Kamera yake bado inatoa picha Kali nzuri kwenye Hali yoyote Ile jua Kali , au kiza kinene bado picha itaonekana kwa ubora zaidi, pia simu hii iko imara kwenye betri kwani betri lake liko imara sana suala la kuisha chaji kwa haraka ni Uongo inatunza Sana chaji.
๐ฎโฝ Kama unapenda games unaweza cheza game Mbalimbali bila kukwama kuanzia, E football, fc mobile, PUBG, break Out arena nk bila kukwama kwama kabisa.
Gharama yake inaanzia 390k mpaka 500k โ๏ธ.