Badilisha picha yako kuwa Katuni na ChatGPT

Badilisha picha yako kuwa Katuni na ChatGPT

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
CHATGPT Bingwa wa AI !!!!

1_20250405_150716_0000.png


๐Ÿ’ญ Je Unapenda kubadilisha Picha yako kuwa kwenye muundo wa Katuni ?? Wengi wanakuambia nitatumia sijui adobe Photoshop? Cartoon maker ??

2_20250405_150716_0001.png

3_20250405_150716_0002.png


Hapana ๐Ÿ‘Ž๐Ÿพ, unaweza kubadilisha Picha yako yoyote kuwa Katuni unayoipenda kupitia Akili bandia ya chati boti ya ChatGpt imekupa uwezo wa kubadilisha Picha au video kuwa Katuni.

5_20250405_150716_0004.png


6_20250405_150716_0005.png


Utaweza kubadilisha kwenye mfumo wa aina mbalimbali kama vile;
๐Ÿ”… Studio Ghibli
๐Ÿ”… Dragon Ball Z
๐Ÿ”… Pixal

4_20250405_150716_0003.png


7_20250405_150716_0006.png



๐Ÿ”… SimpSons
๐Ÿ”… Minecraft
๐Ÿ”… LEGO

8_20250405_150716_0007.png


10_20250405_150716_0009.png



๐Ÿ”… Tim Burton
๐Ÿ”… Original Photo

๐Ÿ“ก Unafanyaje kubadilisha sasa;
Fungua chatGpt >> tafuta image unayotaka kubadilisha kuwa Katuni

Andika Prompt yoyote unayotaka picha au video yako kuwa Katuni Gani ??

3_20250405_151533_0000.png



4_20250405_151533_0001.png


Tumejaribu kuzifuatilia hizi teknolojia za AI lakini kiuwalisia zinaelekea kuwa Tishio kubwa sana Ulimwenguni kama tusipokuwa makini ?

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿ˜‹

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@bongotech255
ChatGPT
 

Attachments

  • 4_20250405_151533_0001.png
    4_20250405_151533_0001.png
    581.9 KB · Views: 53
Mnaisifia sana hii teknolojia mjue ya kwamba wachora katuni kitambo sana walichora kwa mikono picha za viongozi wa kisasa kuwa katuni. Nyerere, mkapa, sumaye, kova, mahita, samia wamechorwa sana tu kikatuni bila msaada wa hii teknolojia. Teknolojia ndiyo inayoiga akili za watu
 
Inadanganya,katuni inayotengenezwa ,haifanani na picha halisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom