Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget...
38 Reactions
80 Replies
45K Views
Unafikiria Unatumia Browser? Kumbe Browser Ndio Inakutumia Wewe Hii Ndio Njia Pekee ya Kujilinda Kabla Hujaibiwa Kila Kitu Kwenye zama za taarifa, kivinjari chako ni mlango wa fahamu zako na pia...
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Habari za muda ndugu wa JamiiForums Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno...
18 Reactions
3K Replies
249K Views
Nimejaribu zaidi ya lisaa lizima kuingia YouTube ila inagoma. Baada ya kuwasha VPN mambo yanafanya kazi. Mwezi mmoja kabla niliona trend videos za YouTube kama zipo tofauti na kawaida. Sijui ni...
1 Reactions
14 Replies
923 Views
Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe...
4 Reactions
55 Replies
21K Views
Windows Yako Inagoma Baada ya Update? Hii Ndio Njia ya Kuitibu Kwa Dakika 2 — Bila Fundi, Bila Panic Watumiaji wa Windows 11 24H2, kama kompyuta yako imeanza kuonyesha Blue Screen of Death (BSOD)...
1 Reactions
2 Replies
417 Views
Leo nakuletea baadhi ya makosa ambayo yalipelekea Sababu Mbalimbali kampuni au nchi kushindwa kwenye masuala ya Teknolojia ulimwenguni. 1️⃣ Tanzania kushindwa kumruhusu Elon musk Matumizi ya...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Katika dunia ya kidijitali, biashara zinahitaji maandishi mazuri ili kuvutia wateja. Copywriter ni mtu anayebobea katika kuandika maandishi ya kushawishi watu kuchukua hatua fulani — kama kununua...
1 Reactions
5 Replies
663 Views
Msaada iwapo kuna mtu anewai kukutana na changamoto ya account yake kuwa either permanent restricted au temporary restricted nimefanya appeal za rangi zote ila bado wamenishikiria.
0 Reactions
7 Replies
440 Views
Hivi unajua kwenye simu yako unaweza kumpigia mtu simu kupitia wifi sio lazima hutumie line iliyopo kwenye simu yako ?? Najua wengi walikua hawajui hii 👋 Leo nakujuza kupitia @bongotech255...
2 Reactions
3 Replies
620 Views
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Habari wakuu naomba mwenye kujua kuweza kulitatua hili tatizo la smart tv yangu ya tcl 55" kuonyesha vimstari vidogo kimlalo (horizontal) Vimstari vipokwa chini na kidogo kwa kati je hili...
2 Reactions
17 Replies
8K Views
SECTION A: FEW POINTS ABOUT GOOGLE PIXEL 8 PRO Hapo juu ni Google Pixel 8 (kushoto) na Google Pixel 8 Pro kulia. Kampuni ya Kimarekani ya Google wametoa Google Pixel 8 series juzijuzi tu na...
26 Reactions
80 Replies
13K Views
Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
3 Reactions
32 Replies
2K Views
🔬 Title: Nodal and Least-Cost Analysis on the Optimization of Natural Gas Production System Constraints to Extend the Plateau Rate of a Conceptual Gas Field 📘 Published in: Geoenergy Science and...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Ninafikiria nitakapokuwa na makazi yangu ya kudumu niwe na chanzo cha nishati ya kupikia ya biogass (nimeshindwa kupata kiswahili chake), ila sina maarifa ya kutosha kuhusiana na chanzo hiki dhidi...
2 Reactions
37 Replies
19K Views
DNS Ad-Blocking Provider Analysis Provider Comparison Table Provider Primary/Secondary IPv4 Primary/Secondary IPv6 Ad-Blocking Efficacy Summary Privacy Policy Summary AdGuard DNS Primary...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Kampuni ya Xiaomi mara nyingi inakua ndo miongoni mwa brand za mwanzo sio za Google kuweza kutoa mfumo mpya wa Uendeshaji wa Android (Os) kwa vifaa vyake. Tayari Kampuni ya Xiaomi imeshatoa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
2 Reactions
18 Replies
1K Views
HATARI TATU KUBWA ZA KIUSALAMA NA UTENDAJI NDANI YA SIMU ZA ANDROID – NA NAMNA YA KUZIKABILI KITAALAMU Imeandikwa na Goodluck Maleko J Katika dunia ya sasa ya kidigitali, simu janja (smartphones)...
2 Reactions
0 Replies
387 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…