Wakuu, niko na bajeti hii ya 500,000 hadi 600,000 nahitaji nipate Simu(Google pixel) ya ipi itanifaa..?
Kama una ushauri kwa brand nyingine tofauti na hiyo yenye ubora unaweza kunisanua/kunipa...
As an Internet user, it is essential to secure your identity. So, here I have shared some best VPN for Android to stay anonymous from the online world.
The online world is filled with threats to...
Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..).
MItandao ya simu ina...
Lenovo Thinkpad Yoga
✅Core m3
✅8th
✅Ram 8gb
✅SSD 256 gb
✅TOUCH
✅X360 rotations
✅Audio jack
✅3 USB PORT
✅TYPE C CHARGE
Naomba kufaham laptop yenye sifa hiz ni bei Gani ?
Habari Wakuu!
Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo.
Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA
1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro)
Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka...
SASA RASIMI PI IMEKUWA LISTED KWA THAMANI YA $0.2 ILIPANDA MPAKA 3 ILA SASA INASHUKA IPO 1.2 NA ITAZIDI KUSHUKA SABABU WATU WANAUZA SANA
CRYPTO NDIO ILIVYO PI ILISHINDWA MALENGO YAKE TOKA ZAMANI...
Habari,
Nawakaribisha wafanya biashara za utoaji mikopo (Microfinance) kuweza kuujaribu mfumo wetu wa usimamizi wa biashara za mikopo.
Login - Peloo
Tunamba feedback zenu ikiwa kuna maboresho...
Kwa wataalamu wa au waliotumia hizi TV 2 naomba ushauri kati ya haier na hisense TV gani nzuri na mara.
Nilikua na samsung imekufa sasa huku kwa samsung naona parefu sana. nimeshuka hapa kati...
Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi
Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako
Picha kwa Hisani ya Pinterest
Mfano: nina 1.5m Naanza na👇🏾
❍ Kiti
→...
Anaandika bwana Kenge,
Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na...
Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Matumizi Yako Ni Yapi?
Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming –...
Je Ni nunue Laptop au Desktop? Swali Gumu Sana Mpaka Ujue Ukweli Huu wa Kifundi Usioambiwa Mara Nyingi
Kwa nini laptop yenye "Core i7" haifanyi kazi sawa na desktop yenye "Core i7"?
Kwa nini...
“Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password
Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri...
Wakuu kama title inavyoeleza naomba kujua tofauti iliyopo kati ya audio flac file na mp3 320kbps .......
Na sehemu website au apps gani naweza download hizo flac file zenye quality nzuri...
Habari zenu wakuu!
For time being nimekua nikiwaza kufungua blog lakini changamoto imekuwa ni aina gani ya blog inayolipa! Ni nini watu wanapenda ili nikiweka katika blog yangu niweze kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.