Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu imezima ghafla na haiwaki tena. Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Habar wana jamv naitaj kujua sabufa aina ya pineetech pt v3 zinamfumo wa remot na bluetooth kwa waliotumia aina hvyo ya bufa msaada
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu ...
2 Reactions
5 Replies
389 Views
Ni LENOVO mpya kabisa ila nikijaribu kuinstal inagoma.Mpka Bluetooth nimejaribu kudownload inagoma. Nafanyaje wakuu?
3 Reactions
5 Replies
301 Views
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu NAWASILISHA
6 Reactions
12 Replies
933 Views
Wakuu habarini za wakati huu, ninahitaji router ya Airtel, kuna nyingi nimeona zinauzwa 110,000. naomba mnijuze mambo yafuatayo. je, hiyo 110,000 ni bei ya router(device) au ni ya vifurushi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana...
1 Reactions
11 Replies
558 Views
Ni vodacom Nimelipia speed ya 20mbps 115,000 kifaa nimeuziwa 105,000 ni 4g
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Laptop au wanapenda kuita Personal Computer(PC), ni kifaa muhimu sana kuwa nacho hasa kwa kijana wa sasa anayekwenda na kasi ya Dunia katika nyanja mbalimbali za maisha. Wengi wetu hatumiliki PC...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
simu za mkopo Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani. Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks. Kila API ilikuwa kama mlango...
0 Reactions
3 Replies
303 Views
Urahisi wa Kidijitali Unaokuja na Hatari Zake Katika dunia ya sasa ya kidijitali, QR codes zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Zimeenea kwenye menyu za migahawa, mabango ya matangazo...
1 Reactions
0 Replies
318 Views
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimekutana na kauli nzito ya mjasiriamali wa teknolojia Isaya Yunge kuhusu changamoto wanazokutana nazo wabunifu wa Kiafrika katika zama mpya za Artificial Intelligence (AI). Amesisitiza kuwa AI...
1 Reactions
8 Replies
460 Views
Peugeot ni kampuni ya Kifaransa inayodili na utengenezaji wa magari ya umeme. Kwenye picha ni gari aina ya Peugeot e 3008 New Model (2024) SPECIFICATIONS ZAKE 👇👇 Dimensions: 4,542 mm x 1,895 mm...
1 Reactions
5 Replies
540 Views
What is the 'gentle singularity' of Sam Altman the CEO of OpenAi? by Marco Trabucchi 13 June 2025 SAM ALTMAN, CHIEF EXECUTIVE OFFICER, OPEN AI ChatGpt's dad outlines a scenario where...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Browser ya Google chrome ni apps maarufu ulimwenguni karibu watu wengi tunatumia hii apps kwenye vifaa Mbalimbali kwani ni nyepesi, ufanisi Bora, muonekano wake wa kuvutia nk. Lakini Kuna apps...
3 Reactions
0 Replies
466 Views
Hizi sio ndoto Tena au Zile movie za kisayansi (Sci-fi) ni maisha Halisi Sasa ambapo Makampuni makubwa Mbalimbali yameleta Teknolojia tishio ambazo zitakazokuja kutikisa Dunia. Kampuni Mbalimbali...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
AI Chatbots Wanaweza Kukufuatilia – Isipokuwa Hii Moja Lumo Chatbot ya Kipekee Inayolinda Faragha Yako kwa Kiwango cha Kitaaluma Je, umewahi kujiuliza mazungumzo yako na chatbot yanaishia wapi...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Back
Top Bottom