Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

ANGALIA PICHA CHINI , KABLA YA KUSOMA Jamiiforum mbona ni copy na paste ya forum blackhatworld .com Haya si ndo ya mambo ya kununua source code au ku-download Nulled script? Kama ndiyo wapo wapi...
14 Reactions
130 Replies
7K Views
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee...
12 Reactions
104 Replies
265K Views
Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu...
2 Reactions
2 Replies
918 Views
wakuu nilitaka mnifahamishe tofauti ya mtandao wa ndani ni upi? na mtandao wa umma ni upi?
0 Reactions
3 Replies
285 Views
Instagram Inaweza Kushare Mahali Ulipo na Followers Wako Wote Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, taarifa binafsi zimekuwa bidhaa yenye thamani kubwa. Hata bila ruhusa ya wazi, programu...
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda...
1 Reactions
4 Replies
585 Views
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo. Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana. Sasa nimeokota pochi la...
31 Reactions
700 Replies
76K Views
Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
JINA LA KITABU: “Machimbo ya Bidhaa Kwa Bei ya Jumla Kariakoo” UTANGULIZI: Kariakoo ni kama mgodi wa biashara Tanzania — lakini si kila mtu anajua mahali pa kuchimba. Wengi wanapoteza muda, hela...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanahitaji mbinu bora za kuwafikia wadau, wafadhili, na jamii kwa ujumla. Moja ya fursa kubwa ambazo mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Kama Nokia anataka kurudi ajitafakari Sana bado ana nafasi. Simu za Nokia ZOTE smart na viswaswadu ni GHALI kishenzi LAKINI Zina hardware mbovu Sana hasa KWA smart za SASA . Naposema hardware...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua...
1 Reactions
4 Replies
610 Views
🗯️ Leo nakupa taarifa kuhusu simu hii ya Samsung Galaxy s25 Edge ni simu ambayo kama utaniambia ni kwanini usinunue basi nakupa taarifa zake sio kwamba haifai kuitumia hapana ila hii simu ina...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Habari wanajf. Kichwa Cha habari kinajieleza.
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu...
0 Reactions
6 Replies
404 Views
🗯️ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani...
2 Reactions
3 Replies
533 Views
Wazee, heshima zenu. Nina huu mzigo, lakini napata changamoto moja. Nikijaribu kuplay video, iwe youtube au kwenye mashine yenyewe, inajizima. Lakini kazi zingine na audio, haina shida. Tatizo...
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box Power supply 10 A bei 50,000 Radio ya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Unapotaka kununua simu mpya, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Bajeti: Amua kiasi unachotaka...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom