Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wadau wa tech jamii Forums napenda kuwatakia maisha mema. Kuna hii simu inaitwa So what S25 Ultra nimejaribu kuiangalia na imenipendeza Sana maana Ina muonekano sawa na Samsung S25 Ultra...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kampuni ya LG. Kuna maandishi yanasomeka lhd657 january 2023. Nimeifunga ndani kwangu cha ajabu inazidiwa mkito na hizi sabufa za kichina spiano Nimeinunua 700k. Pesa yangu inaniuma sana kwa...
20 Reactions
245 Replies
20K Views
Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake. sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa...
0 Reactions
7 Replies
501 Views
Tech word! Tecno spark 40 iliyozinduliwa June 2025 Ina muonekano (Extnl) sawa na iPhone 17 itakayo toka sep 2025! Je Nani kafanya copy and paste???
1 Reactions
11 Replies
617 Views
Natumaini hamjambo, ni muda mrefu kidogo sijatumia telegram nimekumbuka lile group la Xiaomi users tz nimedownload lakin sipokei verification code tatizo inaweza kua nini?
1 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya...
1 Reactions
0 Replies
255 Views
Toleo jipya la Simu Toka TECNO iliyoweza kuzinduliwa Mwezi June Mwaka huu ambapo ni TECNO spark 40 imekuja ikiwa na muonekano wa kipekee sana. Ni Simu nzuri kwa vijana wanaokwenda na wakati...
1 Reactions
0 Replies
352 Views
VPN NI NINI? VPN ni kifupi cha Virtual Private Network. Ni encrypted tunnel kati ya vifaa viwili ambayo inakuwezesha kuingia kwenye kila website na huduma nyinginezo za mtandaoni privately na...
27 Reactions
84 Replies
24K Views
Inawezekana ndio unaanza kutumia programu ya WhatsApp au hata pengine ulikua unatumia programu hiyo kwa miaka mingi sasa, lakini pia inawezekana ulikua unakosa kutumia programu hiyo vizuri kwa...
12 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu huwa siielewi Oppo mara nyingi huwa naona ana mcopy sana iPhone. Tofauti ni operating systems tu. Ila vingi Oppo anacopy kutoka iPhone. Hata ukicheki muundo hadi displays ndani iphone iPhone.
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g, Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Kitabu kinaitwa mobile phone repairing soft copy mwenye nacho naomba
1 Reactions
4 Replies
397 Views
HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Baada ya miaka 40 hatimaye kampuni ya Microsoft imesema Goodbye to bluescreen of death ☠️, Microsoft imesema imeweza kutambulisha kipengele kipya kinaitwa Black screen of death. Kwaiyo kuanzia...
2 Reactions
4 Replies
308 Views
Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu simu yangu ya Redmi 10C "inastack" sana, Shida inaweza kuwa nini? Simu hii nimeinunua mwezi wa saba mwaka jana , hata haijamaliza mwaka. Matumizi yangu ni ya kawaida sana, wala huwa...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo nakuambia njia salama za kuwezesha kuhamisha message zilizopo kwenye simu moja kwenda nyingine bila ku forward!!. Inawezekana umenunua simu mpya na unataka kuhamisha message zako Toka simu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom