Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mi ni mgeni wa haya mambo ni muda mrefu nimekuwa nikisikiliza mziki bila mdundo nimejichanga changa nahitaji kununua Home Theater nzuri na ya kisasa pakuanzia ndo sijui wenye kujua ni vitu gani...
0 Reactions
78 Replies
25K Views
Natanguliza shukrani. Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa RAM 4GB Processor...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga...
0 Reactions
7 Replies
921 Views
Habari, Naomba kujua kama kuna mdau/wadau waoweza kufanya physical damage data recover, HITACHI Deskstar 250GB haispin ila nimejaribu kubadilisha circuit nyingine ya Hitachi 250GB version &...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Msaada wakuu, Kwa wenye uzoefu zaidi na mpesa mastercard, nilifanya manunuzi aliexpress kwa kutumia mpesa mastercard, mzigo haujafika kwa zile siku zilizopangwa nikasililizia mpaka buyer...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada wakuu, nifanyeje ili niendelee kuadvertise insta.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu. Ndugu yangu ana simu aina ya redmi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada wa kujuzwa kwa yule ambae anafahamu ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing kwenye pc ambayo unaweza kuchanganya,video normal picture,ukaweka...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wakuu, naomba tukumbushane ni sababu zipi zinazopelekea milipuko mingi kutokea milimani?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba anaejua ubora wa deepfriza anisaidie kuchambua ubora wa huyu mnyama homebase warant 2yrs price laki 8
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Naomba kujua Jinsi ya Kuondoa E - Mail ya Mtu katka Samsung Account, Simu nilinunua kwa Mtu ambaye Sina namba zake, Nataka nisajili Account Yangu Kwenye Samsung kwa Ajili ya Security
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari za muda nipo sehemu ambayo internet speed yake ni tatzo ina soma 3G ambayo haina nguvu jana nilidownload VPN ingawa kwa shida nilivyo iwasha speed ya internet ikaongeza yaani hata YOUTUBE...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu? Nina printer aina ya EPSON L850 changamoto niliyonayo nashidwa ku print PVC card. Naomba msaada wa jina la software ili niweze ku download nifanye hii shughuli. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwenye FIFA msaada jaman na mortal kombat 11 far cry 5 na need for speed payback kiufupi naitaj game za PC [emoji120][emoji120]
3 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji880] Stellar Phoenix Windows Data Recovery – Professional is a do-it-yourself data recovery software that helps you to easily recover deleted files & folders, missing or corrupt partitions...
2 Reactions
160 Replies
25K Views
Kioo cha latitude 2120 kinauzwa bei gan wakuu hiki kilatop kamedondoka kioo Kwishiney kiweka mstari
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa? Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Ninahitaji kujifunza ufundi simu (fani ya ufundi simu) either hardware au software au zote mbili. Napendelea nifundishwe na fundi simu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Browser gani tatu ni nyepesi (lightest) inafaa kwa PC yenye memory/ram ndogo?
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna watu wengi wamekua wakiulizia jinsi ya kupata free internet kwa njia ya vpn commonly tunneling, nami ningependa kutoa mchangu wangu kuhusiana na hii haina ya internet. Ni kweli unaweza pata...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…