Android min personal computer

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
826
912
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei ni kuanzia TSH ngapi? Uzi tayari.
 
Ila mbona hiyo chromebook inatumia Linux nakati yenyewe inatumia android
 
Oya vp jamani mbona mna upita huu uzi? Mm nilitegemea nitapata majibu usiku huu
 
Oya vp jamani mbona mna upita huu uzi? Mm nilitegemea nitapata majibu usiku huu

Chromebook ni computer inayotumia chrome OS. Na inaweza kuwa brand yoyote kama vile HP etc. Kwakuwa Chrome ni ya Google na android ni ya google pia , hivyo hii computer inaendeshwa na huduma za google.

Laptop za android zinatumia Android OS na ni kama simu kubwa tu ya Android au tablet ya android yenye physical keyboard hakuna jipya.
 
Asante kwahiyo chromebook inaweza ku access playstore
 
Hili li Crome Book nilitaka niuziwe kumbe halina Winidow kama simu lenye Keyboard tu tena limites umaaikini wa kupenda Cheap huu
 
Back
Top Bottom