M-Pesa Mastercard msaada

hjr

Member
Aug 11, 2020
50
95
Msaada wakuu,

Kwa wenye uzoefu zaidi na mpesa mastercard, nilifanya manunuzi aliexpress kwa kutumia mpesa mastercard, mzigo haujafika kwa zile siku zilizopangwa nikasililizia mpaka buyer protection time ikaisha.

Nimefungua dispute na sasa hivi dispute imekubaliwa na wamekubal kunirefund iyo pesa lakini nilisikia kwamba had uwe refunded inatakiwa ujaze fomu ofisi za voda, swali langu la msingi ni kwel natakiwa nifanye hivyo? Au wataerefund pesa itarud bila kujaza iyo fomu?
 

Goodguy

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
299
1,000
Mimi nimekuwa nikiitumia mara kwa mara mkuu, pesa inarudi kwenye kadi bila kwenda kokote.

Mifano,
Niliagiza iPad 2020 kipindi cha corona muda uliowekwa ulipopita nilirudishiwa pesa yangu bila tatizo.

Niliagiza simu mwanzo mwa 2021 kabla hawajasafirisha nilighairi na pesa yangu ilirudi bila shida
 

hjr

Member
Aug 11, 2020
50
95
Mimi nimekuwa nikiitumia mara kwa mara mkuu, pesa inarudi kwenye kadi bila kwenda kokote....
asante sana mkuu,na huwa wanarudisha baada ya muda gan maana wamenambia pesa itakua refunded within 3 upt 20 business day
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,044
2,000
Sema uwe unacheki salio. Maana wanarudisha kimya kimya tu bila hata msg.
 

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,571
2,000
Kumbe hela huwa zinarudi. Kuanzia leo acha nianze kuagiza mizigo mikubwa. Ila bahitaji msaada wenu namna gani ya kuagiza bidhaa toafuti tofauti kwenye bando moja ili mzigo ukifika uwe kwenye percell moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom