Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Program ya Spotify imeleta feature mpya kwa Watumiaji wa Instagram ambapo kupitia app ya Spotify utakua na uwezo wa kushare kile unachosikiliza kwenda Instagram. Inawezekana ukawa unasikiliza...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama...
1 Reactions
6 Replies
328 Views
Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. ==================== Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
0 Reactions
1 Replies
229 Views
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Jinsi Sauti za AI Zinavyobadilisha Sekta ya Utangazaji Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya Sauti za Akili Bandia (AI) imepiga hatua kubwa. Leo hii, kompyuta zinaweza kusoma...
2 Reactions
2 Replies
417 Views
Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya...
2 Reactions
6 Replies
734 Views
In addition, we see many traits of A.I,reflected in the future age that will prevail. Its main characteristic will be independence, and everything else will follow. Marriage and family as...
2 Reactions
0 Replies
521 Views
Tabia 7 Zinazoiharibu Kompyuta Yako Bila Wewe Kujua Na MALEKOGJ Kama muuzaji na mtaalamu wa kompyuta, kila siku napokea simu, ujumbe na laptop zilizokufa ghafla. Na mara nyingi si kwa sababu ya...
2 Reactions
2 Replies
418 Views
Jinsi ya Kuongeza Muda wa Betri ya Laptop Yako Betri ya laptop mara nyingi huwa changamoto, hasa pale unapokuwa safarini au mbali na umeme. Habari njema ni kwamba kuna njia rahisi za kuongeza muda...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Jinsi ya Kuongeza Muda wa Betri ya Laptop Yako Betri ya laptop mara nyingi huwa changamoto kubwa, hasa pale unapokuwa safarini au mbali na chanzo cha umeme. Habari njema ni kwamba kuna njia rahisi...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Salama wakuu, Habari za jioni wakuu? Naomba niende straight kwenye point, Nimemnunulia mtoto wangu tablet aina ya Atouch ambayo inatumia android version 13. Sasa bwana hii tablet changamoto kubwa...
0 Reactions
5 Replies
511 Views
Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone...
2 Reactions
6 Replies
574 Views
Hivi ni simu gani model ya Samsung galaxy nzuri yenye uwezo wa kupiga picha, kuitumia kama cctv na mambo mengine kama hayo? Bei yake ni she ngapi? Naomba kujua kwa anayeelewa please.
1 Reactions
3 Replies
713 Views
So kila siku nimekua nikipata zile “bro unajua sana” nakukubali sana , bro unajua blah blah… Lakini ukweli ni kwamba it takes a lot kuwa consistent kushare #MadiniYaGaby. Na si mimi tu — hii...
2 Reactions
3 Replies
369 Views
Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
0 Reactions
4 Replies
391 Views
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust...
1 Reactions
3 Replies
486 Views
Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa...
2 Reactions
3 Replies
570 Views
Back
Top Bottom