Msaada: Chanels hazifunguki kwenye TV yenye kingamuzi ndani

yoga

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,808
8,304
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!

Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels.

Nimeiwekea antena tukasearch zikaja channel list za star times zooote including hizo za free lakini sasa hazifunguki eti!! Kuna saaa inafunguka star tv, badae star gude tu

Msaada wenu sasa, na kwenye screen pale panaonesha NO CI MODULE Sa sijui nimodule ya wapi hiii msaada wenu nifanyeje nione hizo chaneli!! Kama itv, na zinginezo za hapa bongo dalisalama
 
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani...
Jaribu kubadili uelekeo wa antena yako, Kama upo dar ukisearch kwa antena basi utapata channel za ving'amuzi vya Ting, Azamtv, startimes na digitek nadhan labda na continental. Sasa channels ambazo ziko free ni Capital, TBC, ITV, Startv, EATV, channelTen na nyengne chache sijajishika majina. Ambazo inasemekana kwamba hizo channel zinatokea kwenye king'amuzi cha digitek ambacho channel zake zipo FTA

Hayo ndio ninayofahamu mimi na ni kwel hizo channel zipo kwenye tv zenye ving'amuzi, Nilizipataka kwa kutumia samsung series 5
 
Inategemea ni kingambuzi gani iko ndani ya tv yako. Kwamelezo yako ni ya antena ambayo tv nyingi siku hizi tv nyingi zinazo angalia kama ina ya satelite ndio unaweza pata channel nyingi

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!

Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels

Nimeiwekea antena tukasearch zikaja channel list za star times zooote including hizo za free lakini sasa hazifunguki eti!! Kuna saaa inafunguka star tv, badae star gude tu

Msaada wenu sasa, na kwenye screen pale panaonesha NO CI MODULE Sa sijui nimodule ya wapi hiii msaada wenu nifanyeje nione hizo chaneli!! Kama itv, na zinginezo za hapa bongo dalisalama
Kawaida utanasa hata channel 200 hata za continental ila utaishia ona kama 5 hivi ikiwemo channel flan ya wajapan. Hizo nyingine wamezifungia
 
Unatakiwa kupata channel za bure zinazorushwa na wenye dikoda za antenna katika mawimbi ya Minara na sio satelaiti.

TV hizo ni
Tbc1
Safari channel
Itv
StarTv
ATN
Channel 10
Channel 10 plus
EaTv
St Guide
Capital Tv

Kila channel hapo inaweza kuonekana zaidi ya mara moja, wakati kuna itakayokuwa na alama ya dollar $ na ambayo haina alama. Zote zenye alama ya dollar $ hazitaonesha isipokuwa zile ambazo hazina alama.
 
Jamani Sasa mbona hapa naona inaonyesha ka funguo na sio $
 
Mkuu nunua kisimbuzi na zisikuzumbue hizo channels chache sana kulingana na teknolojia ilipo sasa.
 
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!

Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels.

Nimeiwekea antena tukasearch zikaja channel list za star times zooote including hizo za free lakini sasa hazifunguki eti!! Kuna saaa inafunguka star tv, badae star gude tu

Msaada wenu sasa, na kwenye screen pale panaonesha NO CI MODULE Sa sijui nimodule ya wapi hiii msaada wenu nifanyeje nione hizo chaneli!! Kama itv, na zinginezo za hapa bongo dalisalama
Mawili,ukanunue ci module ya kampuni husika,ambapo kwa hapo inaonekana hzo ni chanel za startimes ,sasa uipate hyo ya startimes au pili uzitafute channel ambazo zinarushwa na digitek hawa hawajazifungia kabisa,ukizipata zitaonesha vizuri
 
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!

Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels.

Nimeiwekea antena tukasearch zikaja channel list za star times zooote including hizo za free lakini sasa hazifunguki eti!! Kuna saaa inafunguka star tv, badae star gude tu

Msaada wenu sasa, na kwenye screen pale panaonesha NO CI MODULE Sa sijui nimodule ya wapi hiii msaada wenu nifanyeje nione hizo chaneli!! Kama itv, na zinginezo za hapa bongo dalisalama
Tafuta bisibisi kitoe nje ili kipate hewa mwenzako Sina hata Tv ila nimeanza kuwekeza kwa mama nyau
 
wakuu je ni kwel smart tv zina sehemu ya kuweka kadi za ving'amuzi mfano azam au dstv?
Siyo card ni CAM module +Card +tuner ya signal husika ,kama unataka kukamata chanel za azam za satelite basi hyo tv lazima iwe na tuner ya satellitr vivyohvyo kwa dstv,na kama unataka za signal za antena lazima tv iwe na tuner ya antenna ya kawaida terrestrial
 
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!

Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels.

Nimeiwekea antena tukasearch zikaja channel list za star times zooote including hizo za free lakini sasa hazifunguki eti!! Kuna saaa inafunguka star tv, badae star gude tu

Msaada wenu sasa, na kwenye screen pale panaonesha NO CI MODULE Sa sijui nimodule ya wapi hiii msaada wenu nifanyeje nione hizo chaneli!! Kama itv, na zinginezo za hapa bongo dalisalama
Hujaseti chanel itakua,, si huwa zinasetiwa,,, tafuta fundi, kama uko mtundu unaingia mtandaoni unstafuta kila channel inapatikana namba ngapi na satelite ipi
 
Back
Top Bottom