Njia nzuri ya kujifunza programming ni kutumia Google hakikisha una account atackoverflow haya ni mambo rahisi ukiwa na jambo jipya kabla ya kuuliza stack overflow uliza Google.Habarini watu wa Mungu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni msaada nimehangaika kweli kweli
mathsjery View attachment 2116964
Thanks sana mkuu, ngoja nianze kutumia stack overflow.Njia nzuri ya kujifunza programming ni kutumia Google hakikisha una account atackoverflow haya ni mambo rahisi ukiwa na jambo jipya kabla ya kuuliza stack overflow uliza Google.
Usitegemee kupata msaada wa haraka kwa kutumia jf kwa programmg.
Hatuna jukwaa la programming Ni ngumu pia kwa devs waluomo humu kujibu maswali yako kwa wakati.
Anyway
Jibu hili hapa
Programming facts...Habarini watu wa Mungu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni msaada nimehangaika kweli kweli
mathsjery View attachment 2116964