Naweza kuagiza camera ya simu AliExpress?

Naweza kuagiza camera ya simu AliExpress?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Wakuu nawasalimu,

Simu yangu (Samsung A50) ilipasuka camera so inatoa picha zenye ukungu, simu bado ni nzima kwa kila idara ba inakidhi mahitaji yangu isipokuwa huo ubovu wa camera pekee.

Sasa maswali yangu ni haya, Je inawezekana kufanya replacement ya camera? Je huko AliExpress naweza kupata? Niko Arusha, itanifikia vipi? Msaada wenu tafadhali, sina knowledge sana na mambo ya biashara za mtandao.
 
Hata atakayekujibu ataangalia aliexpress kama zipo, sasa kwa nini usiangalie mwenyewe tu?
 
Mkuu kampuni gani ya shipping na cost zake zinaweza kuwa Tsh?

Eg -: Kwa mzigo wa 35cm*40cm*35cm?
Mimi natumia unique air cargo (yoonek). Kuna price list yao ila hapa sina kwa sasa. Ila wapo cheap na faster sana

Wapo kariakoo , binslum plaza

+255652472486- Mushi.

Mcheki jamaa[emoji115][emoji115]
 
Okay shukrani Mkuu nitafanya ivo
Mimi natumia unique air cargo (yoonek). Kuna price list yao ila hapa sina kwa sasa. Ila wapo cheap na faster sana

Wapo kariakoo , binslum plaza

+255652472486- Mushi.

Mcheki jamaa[emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom