Kwa 1milion nichukue laptop gani nzuri?

Kwa 1milion nichukue laptop gani nzuri?

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,506
Reaction score
6,450
Wakuu nina m1 cash now nichukue laptop gani nzuri si lazma iwe mpya hata refurb sio mbaya nisaidien wadau iwe na spec gani?

Kama kuna mdau anauza anicheki inbox au hapa hapa deal lazma owe leo thanks.
 
Vyovyote itakavyokua chukua mpya, M1 sio hela ndogo kwa laptop mpya, ikiwezekana nenda dukani kabisa uifungue mwenyewe bikra
 
Wakuu nina m1 cash now nichukue laptop gani nzuri si lazma iwe mpya hata refurb sio mbaya nisaidien wadau iwe na spec gani?

Kama kuna mdau anauza anicheki inbox au hapa hapa deal lazma owe leo thanks.
Hiyo laptop unataka uifanyie nini?
Ni ngumu sana kupata ushauri mzuri bila kuweka wazi unataka uifanyie nini.
Kama ni matumizi ya kawaida tu utapata laptop mpya nzuri tu, ila kama una matumizi mengine special yanayohitaji uwezo mkubwa, second hand laptops au refurbs zitakuhusu.
 
Nawashukuru wakuu nimechukua hp matumizi yangu yalikua mazito kidogo

Mniambie kama nimepigwa au la
Screenshot_20220214-191009_Instagram.jpg
View attachment 2119417
 
Back
Top Bottom